Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hapo kwenye hereni kafeli saana kwa kweli dah.
Hazijampendeza kuwa star sio lazima uvae kike kike vile yaniHapo kwenye hereni kafeli saana kwa kweli dah.
Daah amezingua sana kwa kweli.
Atakuwa anataka kiki huyu though nywele kapendezaDaah amezingua sana kwa kweli.
Acha chuki zisizo na maanaKijana wa Kiislam
Duh kweli kazingua,maana nnavyokujua wewe ni front line soldier wa diamond,kama amekupoteza basi amekula hasara!Hapo kwenye hereni kafeli saana kwa kweli dah.
Mwarabu wa Dubai yupi mkuuMboni nasikiaga eti haka kajamaa kanatafunagwa na yule "Mwarabu wa dubai"
au maneno ya watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app