Muonekano mpya wa Johari wa Bongo Movie ni balaa



Tuache Uchawi muda Mwingine na hizi Hoax

Joari yuko wapi hapo ? Au picha za kwenu huko mnataka kuzi advertise ?
:focus:

Maisha Mtelezo
 
Hayaa majukwaaa wengine mkoment tu jamaniiu
 
inabidi johari ajitahidi kufanya diat, inaonesha ray anapenda mamodo.
 
inabidi johari ajitahidi kufanya diat, inaonesha ray anapenda mamodo.
 
Jamani johari amenenepa dah!na hilo wigi hata halijampendeza lol
 
Kibonge mswaki mbaya sana hii ya kunenepa juu halafu chini flat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…