huyo dada ni mlemavu wa miguu...?
Johari ndo amenenepa hvyo..
johari ndio nani?
Mititi kama tikiti maji..mxxxxx
teh teh teh... sasa akivua yataonekana tu....! hivi sijui kwanini hii mikorogo mnatumia! wanapoteza ladha kabisa....Hana hata ulemavu, anaficha mabaka ya mkorogo yasitokee kwenye picha.
Labda sakafu ya baridi kabanga
Sio Johari huyo hapo nitabisha hadi keshokutwa
Wewe yule Jr
heaven on earth ulihisi hatanenepa nini?