View attachment 2013859 Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13.
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama ilivyo katika OnePlus Nord N10) na lens za kamera zimejitenga. Kamera mbili zitakuwa na duara kubwa na pembeni itakwepo kamera moja na Flash.
Specs zilizovuja itakuwa na Snapdragon 695 5G, kioo cha AMOLED inch 6.3 na Finderprint itawekwa ndani ya kioo.
Bei yake inaweza isizidi Laki 7 kwa sababu ni Mid-range.
Simu lazima zielekeane sana ni kama ndege bila kuwa mtaalamu hujui hii ni Boeing, Airbus au Embraer. Hata gari zinafananaframe & display iphone ,camera samsung.
yaani imeshindikana kabisa kuja na idea tofauti
hata hivyo imekaa vizuri.
Ukiachana na michakato ya hapo kati kiuhalisia simu hua na bei ya kawaida.Hiyo simu haiwezi kuwa chini ya laki 9. Laki saba umeweka hela ya chini sana au unataka kusema inazidiwa na Samsung A 52 na Oppo Reno 5. Hiyo ni 5G kwanza
Sasa inauzwa kwa 700k nani atauziwa unit moja kiwandani. Mtu akiuliza bei ya IST used from Japan itabidi umwambie ni around milioni 12 na sio around milioni 6 bei ya kule Japan. Factory price wanauziwa retailers wanaochukua units nyingi alafu hao ni muhimu kwa kampuni kuuza mzigo mwingi duniani imagine Apple hawajawahi tia mguu Tanzania ila MacBook, iPhone zipoUkiachana na michakato ya hapo kati kiuhalisia simu hua na bei ya kawaida.
Kwa mfano simu hiyo itauzwa na kampuni husika kwa gharama ya Tsh.700,000 lakini Kulingana na process mpaka simu kuingia dukani ndipo bei hupanda sababu hapo kati kina Wholesale, agent, broker, retailers mpaka kumpata Consumer hao wote kati watapenda kupata faida ndio maana bei hupanda.
Hivyo simu kama hiyo hadi kukufikia wewe unaweza uziwa hata 1.3M
Hivyo hivyo kwa iPhone bei inayo uzwa hapa bongo si sawa na bei inayo uzwa huko mambele.Sasa inauzwa kwa 700k nani atauziwa unit moja kiwandani. Mtu akiuliza bei ya IST used from Japan itabidi umwambie ni around milioni 12 na sio around milioni 6 bei ya kule Japan. Factory price wanauziwa retailers wanaochukua units nyingi alafu hao ni muhimu kwa kampuni kuuza mzigo mwingi duniani imagine Apple hawajawahi tia mguu Tanzania ila MacBook, iPhone zipo
Nakuhakikishia hii simu mpaka inafika mkononi mwako haipungui 1.2M.View attachment 2013859 Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13.
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama ilivyo katika OnePlus Nord N10) na lens za kamera zimejitenga. Kamera mbili zitakuwa na duara kubwa na pembeni itakwepo kamera moja na Flash.
Specs zilizovuja itakuwa na Snapdragon 695 5G, kioo cha AMOLED inch 6.3 na Finderprint itawekwa ndani ya kioo.
Bei yake inaweza isizidi Laki 7 kwa sababu ni Mid-range.
Ukiweka na ile hype ya kumiliki oneplus ataongezewa 150k.Ukiachana na michakato ya hapo kati kiuhalisia simu hua na bei ya kawaida.
Kwa mfano simu hiyo itauzwa na kampuni husika kwa gharama ya Tsh.700,000 lakini Kulingana na process mpaka simu kuingia dukani ndipo bei hupanda sababu hapo kati kina Wholesale, agent, broker, retailers mpaka kumpata Consumer hao wote kati watapenda kupata faida ndio maana bei hupanda.
Hivyo simu kama hiyo hadi kukufikia wewe unaweza uziwa hata 1.3M
Nakuhakikishia hii simu mpaka inafika mkononi mwako haipungui 1.2M.
Ili simu uinunue 700k, inabidi sokoni iwe arround $200 na not above $300.