muonekano mpya wa wema sepetu

muonekano mpya wa wema sepetu

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Huu ndio muonekano mpya wa wema sepetu huku akisema eti amefanana na Mdoli
 

Attachments

  • 942165_201038173377944_167404364_n.jpg
    942165_201038173377944_167404364_n.jpg
    6.8 KB · Views: 2,869
Mh!!!! Haya, yetu macho! Mike Jackson alianza hivo hadi alioharibika kabisa
 
Inaelekea bdo kuna akina dada hawajajua matumizi ya Kioo.
 
""Neno la Kipuuzi likiongelewa Kizungu Mswahili anaona sawa sawa""

By Mwl. JK Nyerere.


Yaani kwakujibua hivyo anaona sawa sawa.
 
Mmh huyu Wema kipindi anakuwa miss Tanzania in 2006 alikuwa cheusi dawa maajabu ya dunia leo kawa mzungu!

Bonge la transformation kwa mdada wa mujini....
 
Wemaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaha huko anakoelekea atakua vampire badala ya mdoli

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom