Muonekano wa dunia yetu katika hali ya Crescent Earth

Muonekano wa dunia yetu katika hali ya Crescent Earth

Mzawa_G

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
669
Reaction score
1,475
Muonekano wa dunia yetu ikiwa katika hali ya Crescent Earth ni sawa na ile hali inayotokeaga kwenye mwezi wetu baada ya sehemu fulani ya mwezi wetu kukosa mwanga wa jua.

Katika dunia yetu huwa kuna pande mbili ambapo huwa na utofauti moja huwa na mwanga na nyengine hukosa mwanga ambapo upande wenye mwanga huwa ni mchana na ule uliokosa mwanga huwa ni usiku.

Itategemea utakuwa upande gani katika mwezi wetu ambapo hupelekea kuweza kuona mionekano tofauti tofauti ya dunia yetu kama utakuwa katika uso wa mwezi.

Picha kutoka katika chombo cha Orion mara baada ya kuanza zoezi la kuuzunguka mwezi wetu.

[emoji625]Moudyswema
[emoji625]Gerald
[emoji625]geraldchristopher1@gmail.com

FB_IMG_1673948063634.jpg
 
Back
Top Bottom