Masikini kameshazeeka...
Katoto kamezeeshwa na wazee. Alichezea utoto wake na ataujutia. Hajui uzuri unaporomoka na wazuri wanazaliwa kila sekunde.
Weka ya Hamisa Mabeto balaaa nahis Kanumba anapitwa mengiii aisee
na yule anakuja juu akiandkwa na global publishers atawafunika wote