Huyu dogo nilimtabiria makubwa sana kipindi kasajiliwa Inter. Nikashangaa akashindwa kupewa nafasi akawa anatokea bench. Kumbe ni hamnazo kabisa kafikia hatua ya kujichubua