Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #21
Njoo nikuajiri mimi.Hiyo ofisi iliyokuajiri uwe unaanzisha thread kila mara tugeane michongo basi
Mwandiko seriousMie huwa nawavizia page ya JF insta hasa JF ikigoma utaona malalamiko yao mwandiko kopiraiti nafaidi tu kuona binadamu wenzangu wazuri wazuri.
Weekend hii kwakweli inawaka sana...Duuh. Jumamosi ya leo iko moto ndani ya jf. Lol
Nakusikiliza boss, lete deals.Njoo nikuajiri mimi.
Wadau wamechangamka kweliWeekend hii kwakweli inawaka sana...
Sio siri yani sijui kuna nini tu, ata kule maeneo yetu nimeona leo mapema tu pamewakaWadau wamechangamka kweli
Hongera zako HajarHahaaaa. Lol.
Nimeona Mbalizi. [emoji85].
Unabadirika badirika kama KinyongaHongera zako Hajar
Eeeenh kama vile trump na kiduku wa koreaUnabadirika badirika kama Kinyonga
Yaaani acha tu rafiki. Ina visa na mikasa aiseee.Weekend hii kwakweli inawaka sana...
Hahaaaa. Hongera ya nini tena Mbalizi?Hongera zako Hajar
Mara wawafananishe na nyama choma ,wengine maharage ya nazi, wengine bamia na mlenda duuuhYaaani acha tu rafiki. Ina visa na mikasa aiseee.
Kwa kuzungumziwa kwa mazuri sio kwa mabaya HajarHahaaaa. Hongera ya nini tena Mbalizi?
Yaani acha tu Mbalizi.Mara wawafananishe na nyama choma ,wengine maharage ya nazi, wengine bamia na mlenda duuuh
[emoji23][emoji23]Eeeenh kama vile trump na kiduku wa korea
HahahhaaaaaYaani acha tu Mbalizi.
Hahaaa. Ila yale huwa nayaita majaribu sababu yanataka jicho la tatu nje ya hapo hayo hayo mazuri yanaweza geuka na kuwa mabaya mbeleni.Kwa kuzungumziwa kwa mazuri sio kwa mabaya Hajar
[emoji23][emoji23]Yaaani acha tu rafiki. Ina visa na mikasa aiseee.