Ya kawaida sana hayo ktk maishaHahaaa. Ila yale huwa nayaita majaribu sababu yanataka jicho la tatu nje ya hapo hayo hayo mazuri yanaweza geuka na kuwa mabaya mbeleni.
Kuna member mmoja humu ingelikuwa ni suala ka mnakutana nae tu kuteka maji kisimani / bombani angekuwa ameshakukula tyrHahaaa. Ila yale huwa nayaita majaribu sababu yanataka jicho la tatu nje ya hapo hayo hayo mazuri yanaweza geuka na kuwa mabaya mbeleni.
Hahaaaa. Eti eeeeee.Ya kawaida sana hayo ktk maisha
Hahahaaa. Nani huyo tena Mbalizi?Kuna member mmoja humu ingelikuwa ni suala ka mnakutana nae tu kuteka maji kisimani / bombani angekuwa ameshakukula tyr
Part of lifeHahaaaa. Eti eeeeee.
Yumo humu member mmoja kwa namna anavokuelezea ana machungu sana ya "kukuwowa"[emoji2] [emoji2]Hahahaaa. Nani huyo tena Mbalizi?
Hahahaaaaa. Sawa Mbalizi.Yumo humu member mmoja kwa namna anavokuelezea ana machungu sana ya "kukuwowa"[emoji2] [emoji2]
HahahaaaHahahaaaaa. Sawa Mbalizi.
Cheka tu bana maisha yenyewe mafupi haya.Hahahaaa
Nacheka kwa sauti ujue[emoji23] [emoji23]Cheka tu bana maisha yenyewe mafupi haya.
Tena hayahitaji hata moshi.Mambo ni moto leo
miss you so much my dada adimu sanSiku nilipogundua ukoo mzima uko fb nikaamua kudelete account
Nipo my dia nipo maisha yananipelekesha tumiss you so much my dada adimu san