Muonekano wa msichana anapovaa mavazi ya kiume

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Wadau,

Kwakweli nyinyi sijui mnaonaje?

Pale msichana anapovaa nguo za kiume na kuwa na muonekano wa kiume !

Mimi uwa nashangaa sana sijui ndo uzungu mwingi.
 
Mi huwa nachukia sana, tena bora avae kiume ila abaki kuwa mwanamke.
Unakuta mwanamke kavaa kiume afu anaact kiume mwendo wake, kutizama makalio ya mwanamke mwenzie, wengine hadi wanakonyeza upuuzi mtupu siwapendi
 
Ukimuona mwanamke wa namna hiyo mara nyingi wanakuwa ni wasagaji
 
wengine hadi wanakonyeza upuuzi mtupu siwapendi

Kuna siku nilitaka kuleta tafrani mbaya sana kwenye show ya Jide savannah lounge.......hivi bado panahappen.......?.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…