Muonekano wa mwanaume asiye na pesa

Muonekano wa mwanaume asiye na pesa

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari wakuu, Poleni na Mvua

Leo nimeamua tujadiliane baadhi ya tabia na muonekano wa mwanaume asiye na pesa..

1. Viatu huisha upande mmoja
2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1
3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini
4. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
5. Suruali kunasa kwenye makalio mara kwa mara
6. Tone la mkojo kwenye suruali baada ya kujisaidia
7. Chakula kuruka mdomoni pindi anakula
8. Kufungua soda/bia kwa meno
9. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
10. Kuangalia movie zilizotafsiriwa
11. Kufuta jasho kwa vidole
12. Kupiga mihayo hadi machozi
13. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
14. Kushuhudia matendo machafu kama vile Kuku, Mbwa, Bata kufanya mapenzi mbele yake..na hii inatokana na hata wanyama kukudharau sababu huna PESA
 
15. Ni wataalam saaana wa kugwajimika.
 
Utuambie kwanza wewe ni jinsia gani! ke au me? Iwapo utakuwa ni "ke" basi sitakuwa na tatizo lolote kuhusiana na mada yako maana nitajua hivyo ni vijembe tu kutoka upande wa pili; ila kama utakuwa ni "me" basi tambua kuna tatizo mahali fulani kwenye hiyo jinsia yako.
Sijaelewa boss.. Kwamba unataka kutuambia mtoa mada marinda haipo tena[emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]
 
Mbona mimi sina pesa na sina hizo sifa ulizosema... Hizo zitakuwa ni zile za Mjomba wako
 
Habari wakuu, Poleni na Mvua

Leo nimeamua tujadiliane baadhi ya tabia na muonekano wa mwanaume asiye na pesa..

1. Viatu huisha upande mmoja
2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1
3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini
4. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
5. Suruali kunasa kwenye makalio mara kwa mara
6. Tone la mkojo kwenye suruali baada ya kujisaidia
7. Chakula kuruka mdomoni pindi anakula
8. Kufungua soda/bia kwa meno
9. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
10. Kuangalia movie zilizotafsiriwa
11. Kufuta jasho kwa vidole
12. Kupiga mihayo hadi machozi
13. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
14. Kushuhudia matendo machafu kama vile Kuku, Mbwa, Bata kufanya mapenzi mbele yake..na hii inatokana na hata wanyama kukudharau sababu huna PESA

Ninaweza kuwa na tabia hizo by 90% na nina hela kuliko BF wako aliyewahi kukuhonga pesa nyingi sana....

Ukiacha issue ya movie za kiswahili na ya remote, hizo tabia zote ni za mtu mwenye hela tena nyingi sana........

Watu wasiokuwa na hela huwa wanajitahidi kujikubalisha, ni watu watanashati sana sana wakijaribu kukubalika....

no 4,7,8,9, 11 na 14 ni issue za tabia hazihusiani na kipato cha Mtu kabisa..... sasa kufungua soda na mdomo kunahusiana nini na umaskini?
 
Back
Top Bottom