joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kupatikana kwa uwanja wa kisasa na wenye kutumia technology ya kiwango cha kimataifa kama huu inaziweka nchi za Afrika mashariki katika ramani ya dunia. Hongereni sana wakaazi wa EAC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu boss.. Leta picha za Terminal 3 JKIA.Boss, mbona muenekano wake ni wa kawaida sana?
Ukilinganisha na Viwanja vya Ulaya, China na USA, hapo utakuwa sahihi Boss.Boss, mbona muenekano wake ni wa kawaida sana?
Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.Mimi sipendi airport terminals zikiwa na vyuma vinaonekana yanii kwa kiingereza " roof truss" hiyo inakaa ni kama warehouse.Kuanzia JKIA terminal 3 ,Bole Int'l airport Ethiopia terminal 2 na sasa JNIA Tanzania pia inakaa hivyo. Those other sections are okay.
Kwanini Waafrika tuko hivi jameni? Africa sisi ni watu kama wengine Asia,Ulaya ,America sasa kusema ati "huwezi amini upo Africa" ni kusema we have low expectations of ourselves na hatujiamini sisi uwezo wetu wenyewe. Hiyo sio poa aise haukunena vizuri hapo.Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.
Kuna mazingira ya Africa na Europe au USA, hiyo huwezi bisha. Mwezi uliopita vyombo vya habari vya Tanzania vilizungumza sana kuhusu NYUMBA ya marehemu Reginald Mengi aliyojenga kule kijijini kwako, ile nyumba angeijenga hapa Dar, isingeandikwa sana katika "media".Kwanini Waafrika tuko hivi jameni? Africa sisi ni watu kama wengine Asia,Ulaya ,America sasa kusema ati "huwezi amini upo Africa" ni kusema we have low expectations of ourselves na hatujiamini sisi uwezo wetu wenyewe. Hiyo sio poa aise haukunena vizuri hapo.
Uwewai toka Tanzania we robot ya sisiem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.
Bado, ila nilishafika Kibera, wakazi wa Kibera waliniambia panafanana na USA.Uwewai toka Tanzania we robot ya sisiem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio sababu tunawaambia Tanzania "is unstoppable" sasa hivi.This is good for the image of Tanzania. Eish hiyo ingine ilikuwa kama nest ya Kiwi
Ndio kuna mazingira ya Ulaya na Marekani lakini hilo sio jambo lakutatanisha.Jumba nzuri kuwa Dar ama Mbeya au Turkana sio la muhimu lakini mazingira ya fikra ,kujiamini ndilo jambo muhimu zaidi - hata hapa Marekani nimeona wazaliwa wengi wanaishi vibaya hawajiwezi ingawa wamezaliwa katika manzingira mazuri kiuchumi na kikazi .Huyo huyo Mengi na Bakhresa wamezawa nchi maskini kama Tz yenye mazingira "mabovu" lakini waone walivya paa juu zaidi.Do you get my point mkuu?Kuna mazingira ya Africa na Europe au USA, hiyo huwezi bisha. Mwezi uliopita vyombo vya habari vya Tanzania vilizungumza sana kuhusu NYUMBA ya marehemu Reginald Mengi aliyojenga kule kijijini kwako, ile nyumba angeijenga hapa Dar, isingeandikwa sana katika "media".
Look at the ceilings and floors in JKIA, like the inhumane concentration camps of the HitlerUwewai toka Tanzania we robot ya sisiem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo nilikua sawa kusema kwamba ukiwa ndani ya huu uwanja ni kama upo Ulaya au Marekani, kwasababu mazingira yake yanafanana zaidi na huko kuliko Africa, huko haina maana ni kukosa kujiamini, unless una inferiority complex. Hivi nikisema "Bwana 254 rangi ya ngozi yake ni nyeupe kama mzungu ni kukosa kujiamini?Ndio kuna mazingira ya Ulaya na Marekani lakini hilo sio jambo lakutatanisha.Jumba nzuri kuwa Dar ama Mbeya au Turkana sio la muhimu lakini mazingira ya fikra ,kujiamini ndilo jambo muhimu zaidi - hata hapa Marekani nimeona wazaliwa wengi wanaishi vibaya hawajiwezi ingawa wamezaliwa katika manzingira mazuri kiuchumi na kikazi .Huyo huyo Mengi na Bakhresa wamezawa nchi maskini kama Tz yenye mazingira "mabovu" lakini waone walivya paa juu zaidi.Do you get my point mkuu?
Ndio sababu tunawaambia Tanzania "is unstoppable" sasa hivi.
Look at the ceilings and floors in JKIA, like the inhumane concentration camps of the Hitler
![]()
Hii ndio akili zembe za sisiem hamuezi ona beyond Kenya,mnatuota usiku mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]terminal mzee ya jkia ya 80s ndio unalinganisha na terminal yenu mpya ya 2019[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila kitu SI unit ni Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]Look at the ceilings and floors in JKIA, like the inhumane concentration camps of the Hitler
![]()