Muonekano wa ndani wa JNIAIII, ni balaa. Hongereni wana East Africa

Mimi sipendi airport terminals zikiwa na vyuma vinaonekana yanii kwa kiingereza " roof truss" hiyo inakaa ni kama warehouse.Kuanzia JKIA terminal 3 ,Bole Int'l airport Ethiopia terminal 2 na sasa JNIA Tanzania pia inakaa hivyo. Those other sections are okay.
 
Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.
 
Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.
Kwanini Waafrika tuko hivi jameni? Africa sisi ni watu kama wengine Asia,Ulaya ,America sasa kusema ati "huwezi amini upo Africa" ni kusema we have low expectations of ourselves na hatujiamini sisi uwezo wetu wenyewe. Hiyo sio poa aise haukunena vizuri hapo.
 
Kuna mazingira ya Africa na Europe au USA, hiyo huwezi bisha. Mwezi uliopita vyombo vya habari vya Tanzania vilizungumza sana kuhusu NYUMBA ya marehemu Reginald Mengi aliyojenga kule kijijini kwako, ile nyumba angeijenga hapa Dar, isingeandikwa sana katika "media".
 
Ni sawa ulivyosema, ila ukiwa ndani ya hili jengo huwezi amini kama upo Africa, very high tec and breath taking environment.
Uwewai toka Tanzania we robot ya sisiem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio kuna mazingira ya Ulaya na Marekani lakini hilo sio jambo lakutatanisha.Jumba nzuri kuwa Dar ama Mbeya au Turkana sio la muhimu lakini mazingira ya fikra ,kujiamini ndilo jambo muhimu zaidi - hata hapa Marekani nimeona wazaliwa wengi wanaishi vibaya hawajiwezi ingawa wamezaliwa katika manzingira mazuri kiuchumi na kikazi .Huyo huyo Mengi na Bakhresa wamezawa nchi maskini kama Tz yenye mazingira "mabovu" lakini waone walivya paa juu zaidi.Do you get my point mkuu?
 
Kwahiyo nilikua sawa kusema kwamba ukiwa ndani ya huu uwanja ni kama upo Ulaya au Marekani, kwasababu mazingira yake yanafanana zaidi na huko kuliko Africa, huko haina maana ni kukosa kujiamini, unless una inferiority complex. Hivi nikisema "Bwana 254 rangi ya ngozi yake ni nyeupe kama mzungu ni kukosa kujiamini?
 
Ndio sababu tunawaambia Tanzania "is unstoppable" sasa hivi.

It's not like you are unstoppable. These are the things you should have done in the 70s through to 80s,Sijui mbona mliingia usingizini. Stop having phobias for Development
 
Look at the ceilings and floors in JKIA, like the inhumane concentration camps of the Hitler

Hii ndio akili zembe za sisiem hamuezi ona beyond Kenya,mnatuota usiku mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]terminal mzee ya jkia ya 80s ndio unalinganisha na terminal yenu mpya ya 2019[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila kitu SI unit ni Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…