Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Heshimazenu wanajamii nilikuwa napendekeza kama kila moja akatupa twasira ya jinsi alivyo kwa picha inayofanana na alivyo sio real picture but similarity things.
Na wasilisha wakuu.View attachment 999032
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata muonekano kwa Maelezo inatoshaTunaotumia freebasics tunaomba exemption.
Maana haiwezekani kuattach picha.
Asante.
Tunafahamiana kisaikologia mfano mshana Jr na ile picha yake munavyo muhisia kuwa yuko hivyoTukishakupa taswira zetu nini kinafuata? Au kuna zawadi!
Mkuu usihofu mimi najoking tu[emoji16][emoji16]Mlianza na kutaka kujua shule tulizosoma , Mara oooh mkoa wako, mara wilaya! Sasa hivi mmekuja mnataka taswira zetu au tuelezee muonekano!
Ni Nan mnamtafuta na mmeambiwa yupo jf ? Shenzi taipu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kako vizuri hako ka expartKatoto kadogo lakini kanafanya Coding.. Hako ni kamimi sasa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimecheka jamaniNaomba kuwasilisha..[emoji4] [emoji4] View attachment 999227