Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
- Thread starter
-
- #41
Ahsante mkuu we jirani yangu karibu na kanda ya ziwa najua wewe ndio ulinikaribisha jfKaribu Ushirombo mkuu....[emoji4] [emoji4]
Unajua sisi swag kama lote zipo ila ipo siku nitajionyesha rasmi Mimi mwenyewe naisubiri hiyo siku sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uni pm kama utapenda si unajua kunafursa nataka kufungua kama ya kuwaliwaza warembo kama nyie na mihangaiko na maisha.[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
gentlemen🙈🙈🙈🙈jamani mnionyeshe njia ya kijiji kimoja kinaitwa "piemu"😝😝😝😝😝
Ukitaka kujionyesha wewe mwenyew usiwe mchangangiaji kwenye nyuzi za CCM wala CHADEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndio unavuta nae kitu cha arusha from arachuga manUkimuona huyo ushaniona mimi.View attachment 999282
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Mkuu mchangiaji ant mapinduzi sasa unajua wasio julikana na wakisandu au wawandishi yule aliepotezwa ila Mimi najiamini sana usijali sipendi kuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhhh.....Ahsante mkuu we jirani yangu karibu na kanda ya ziwa najua wewe ndio ulinikaribisha jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi menyu kuu mkuu utaona symbol ya message hivi[emoji395]gentlemen[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]jamani mnionyeshe njia ya kijiji kimoja kinaitwa "piemu"[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Unamambo mengi mkuu umekaa kinyonge nyonge huyu mecco huyuDuhhhh.....
Mbona sikumbuki kama nilikukarumu mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
HahahaNaomba kuwasilisha..[emoji4] [emoji4] View attachment 999227
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lovely [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha