Una uhakika?Mkuu avatar yako inakunyima vingi vitamu,believe me!
Heshimazenu wanajamii nilikuwa napendekeza kama kila moja akatupa twasira ya jinsi alivyo kwa picha inayofanana na alivyo sio real picture but similarity things.
Na wasilisha wakuu.View attachment 999032
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeazima brah na gagulo zako babe....[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mkuu mzungu ni rangi tu ila iQ zinafanana tu
IPO siku yatakuwa real.
mkuu wewe utakuwa mgeni humu
Hongera bobu marasta aka pilot7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kudanganya,Wewe ni kauzu zaidi!
Husna melkiory mamboo
Babe huyo ni husna niamni mm
Wewe ni mtoto mdogo?Katoto kadogo lakini kanafanya Coding.. Hako ni kamimi sasa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapana babe.. lakini baby uliniacha usiku mwenyewe humu