Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Habarinj wanajamvi,
Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo yaliyotumika.
Faida ya kwanza nitatoa ajira, pili nitashiriki katika kuweka mji safi. Ila sina ufahamj wowote wa
1.Masoko yake yamekaa vipi? Kwa maana ya bei yake kwa kilo na huwa inapanda na kushuka, pamoja na uhitaji wake...
2.Namna ya kuyaongeza thamani nikiwa na maana ya kukatakata vipande vidogo sana ili niweze safirjsha mzigo mkubwa kutokana na uhalisia wa makopo kuchukua nafasi kubwa kwenye usafirishaji?
Na mengineyo ambayo siyafahamu ningependa kusikia toka kwenu.
Karibuni wadau kwa maoni na michango