Mkuu ahsante kwa kushea ulichonachoNilionaga tangazo kwenye nguzo, mshahara 200k mimi huyo kwa mwenyekiti barua nikapewa, kufika site naikapigwa intavyuu, naulizwa una uzoefu na kazi (marketing director)nikajibu ndio eti intavyuu imeisha, najiuliza imeishaishaje kizembe hivi, naambiwa ingia na huyu agent humo, kuingia kumbe ni stoo ya vyombo, nilibebeshwa mabeseni, machupa na majagi sikuamini, afu jioni nalipwa buku5 sikurudi nikiona neno vyombo nakumbuka tu ile siku!
Pamoja, ngoja waje, binafsi sijawahi kufanya hio mishe, tofauti na hio siku nilipopewa day!Mkuu ahsante kwa kushea ulichonacho
Nipo nazungumzia kuianzisha biashara ya vyombo mimi kama mimi
π€£π€£π€£π€£π€£ hayo mabango yaliwekwa huku kitaa kwenye 2016/17 hivi japo huku haikuandikwa malipo nilishawishika ila nilikuwa na shughuli za kufanya hivo mikapuuza.Nilionaga tangazo kwenye nguzo, mshahara 200k mimi huyo kwa mwenyekiti barua nikapewa, kufika site naikapigwa intavyuu, naulizwa una uzoefu na kazi (marketing director)nikajibu ndio eti intavyuu imeisha, najiuliza imeishaishaje kizembe hivi, naambiwa ingia na huyu agent humo, kuingia kumbe ni stoo ya vyombo, nilibebeshwa mabeseni, machupa na majagi sikuamini, afu jioni nalipwa buku5 sikurudi nikiona neno vyombo nakumbuka tu ile siku!
Hahah ungejutia πhayo mabango yaliwekwa huku kitaa kwenye 2016/17 hivi japo huku haikuandikwa malipo nilishawishika ila nilikuwa na shughuli za kufanya hivo mikapuuza.
ππππ yaani utembezwe kutwa nzima halafu upewe af tano! Hapo hujakula, hujalipa nauli, hujaweka vocha kwa ajili ya mawasiliano yaani hujafanya chochote, ah Vijana tuliotoka katika familia za kimasikini tunateseka sana.Hahah ungejutia π