Muongozo jinsi ya kufungua duka la pembejeo za kilimo na mifugo

trust112

Senior Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
194
Reaction score
139
Tafadhali mwenye ufaham naomba msaada kujua utaratibu na mchakato mzima mpaka kupata kibali cha biashara hiyo
 
Nina wazo la kufungua duka la pembejeo Za mifugo na kilimo,, ni vigezo gani vinahitajika ili kufungua biashara hiyo?
 
Lazma uwe na leseni ya biashara,chet cha Tpri vingne kama TFRA,TFDA utafuatilia ukishafungua.
 
Lazma uwe na leseni ya biashara,chet cha Tpri vingne kama TFRA,TFDA utafuatilia ukishafungua.
mkuu inaweza kugharimu mtaji kiasi gani hasa ikiwa hautoanza na biashara ya kuuza mbolea
 
Kwa Agro ya kawaida anza na 2M ila chet cha tpri muhmu nkama lak 4-5 me na plan ya kufungua baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…