ndibuka
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 204
- 300
Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na kwa bei nzuri,kama ni kiwandani ama sehemu nyingine tofauti......... natanguliza shukrani zangu
Mawasiliano
0714412676
Mawasiliano
0714412676