Carton linakuwa na rasta PCs ngapi?Sijui kama kiwandani unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani ndo uende. Binafsi mi nachukua mzigo k'koo ambapo sasa carton ni laki moja. Sijajua kawa kiwandani.
Piece mia.
Ulipata muongozo?Anaefanya hiii biashara
Sikupata nasubiri kuna member kaniambia yuko south humu akirudi atanichek.Ulipata muongozo?
Okay mimi natamani kujua bei ya piece 100Sikupata nasubiri kuna member kaniambia yuko south humu akirudi atanichek.
Ila naendelea kupata muongozo kwa wauzaji k.koo taratbu taratbu.