Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
- Thread starter
-
- #81
Basi tuanze mazoezi atoe mwili kidogo asiwe kazembe tufate technical zakoKuanzia Leo aanze kufanya mazoezi ya kucheza cheza kidogo kidogo apunguze uzembe, football isn't that easy it needs sacrifice sometimes.
Zaidi ya yote awe tayari kuwa mchezaji wa kabumbu.
Naona tunamgombania mchezaji, basi nakuachiaMimi ndiye!
Ndiye kocho bora.
Anastasia21 njoo hapa.Aje pm nimpe connection ya Simba Queens
Upo mkoa Gani?Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
I'm ready for that.Basi tuanze mazoezi atoe mwili kidogo asiwe kazembe tufate technical zako
DarUpo mkoa Gani?
OKW BOBAN SUNZU na secretarybird anabidi atoe kilo kwanza awe mwepesi kocha tutajadili ya technicalAnastasia21 njoo hapa.
Okay ila gym first awe portableI'm ready for that.
Hahaha 😂 hapana mkuu shida ni kwamba anaona Mimi namtania lakini hata wewe ukimchukua itapendeza. Cha msingi uhakikishe anafikie ndoto zake.Naona tunamgombania mchezaji, basi nakuachia
Usiogope tajiri nipo hapaKiongozi Ata passport haipo
Yeah, anatakiwa awe portable ili hata akiumia uwanjani asije akavunja machela.Okay ila gym first awe portable
Anastasia21 na Binti Sayuni03 nyie ni wa moto hatari.Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
Sisi sote ni kitu kimoja maana ni watu wa simba sports club.Nimeona makocha ila mwanafunzi Bado asee
OKW BOBAN SUNZU na secretarybird anabidi atoe kilo kwanza awe mwepesi kocha tutajadili ya technical
Nasubiria wa kuuzimaAnastasia21 na Binti Sayuni03 nyie ni wa moto hatari.
Anapiga no look pass na kupiga chenga ya mwili🤣🤣🤣Kama gaucho
Uko tayari ??Nasubiria wa kuuzima
Kumbe wee ni mwakarobo family 🤣🤣🤣🤣Sisi sote ni kitu kimoja maana ni watu wa simba sports club.
Maije mkamla mbususu binti wa watu kama yule mwengineeeAje pm nimpe connection ya Simba Queens
Na mimi nasubiri vigezoAnastasia21 na Binti Sayuni03 nyie ni wa moto hatari.
😹😹🙌🏾Anapiga no look pass na kupiga chenga ya mwili🤣🤣🤣
Ngoja nije nimuone siku akisakata kandanda