Muongozo unahitajika

Muongozo unahitajika

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Salam salaam!

Tieni neno wakuu namna ya kudili na huyu mwanamke niliyeishi nae km jirani yangu kwa muda wa mwaka hivi kabla hajahama na sikuwahi kuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu. Tatizo linaanza anampigia wife simu na kumpa taarifa zangu kuhusu mchepuko niliokuwa nao wakat wife hayupo, na hili jambo nilishaachana nalo muda tu ili nipate utulivu na familia yngu lkn naona km huyu kiumbe amedhamiria kunigombanisha na wife.
 
Inaonesha huelewi ulichoandika.
 
Usiposti kamwe mafanikio yako.Posti vitu vya kijinga na vya mizaha. Kwahapo watafikiri huna ndoto yoyote baadaye. Kwa sababu watu wanachukia maendeleo ya mtu kwa kumaanisha.
 
Mtongoze yeye mbona simple,uone kama atampigia kumwambia kuhusu yeye
 
Back
Top Bottom