Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Dada Donatila kheri ya mwaka mpya na shikamoo dada mkubwaUkome kuwa na michepuko...
Kaa njia kuu...
Inaonesha huelewi ulichoandika.Salam salaam!
Tieni neno wakuu namna ya kudili na huyu mwanamke niliyeishi nae km jirani yangu kwa muda wa mwaka hivi kabla hajahama na sikuwahi kuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu. Tatizo linaanza anampigia wife simu na kumpa taarifa zangu kuhusu mchepuko niliokuwa nao wakat wife hayupo, na hili jambo nilishaachana nalo muda tu ili nipate utulivu na familia yngu lkn naona km huyu kiumbe amedhamiria kunigombanisha na wife.
Kipindi nahamia niliwahi kumuachia funguo akija ampe na amemuambia na hili piaHii ngumu aisee,
Kama hatotoa uthibitisho wowote, utaponea. Na si umesema umeacha, mkeo atakufatilia hatopata chochote.
Fikiria ni nini akimuambia/muonesha mkeo utashindwa kabisa kujitetea.
Nimekoma na nimeachaUkome kuwa na michepuko...
Kaa njia kuu...
Tuanze na ww dadangoja waje kukupa muongozo
Hiyo si unakataa tu😂Kipindi nahamia niliwahi kumuachia funguo akija ampe na amemuambia na hili pia
Marhaba, heri ya mwaka mpya kaka...Dada Donatila kheri ya mwaka mpya na shikamoo dada mkubwa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hajazoeana naeHiyo si unakataa tu😂
Labda kama amezoeana na huyo mchepuko, hapo kuna shida