khalifa kijangwa
Member
- Jun 2, 2013
- 6
- 0
muongozo wa elimu ya tanzania ukoje ?. Je walimu wanawafundisha wanafunzi hasa kwa lengo gani. Pengine hii pia ni chazo cha kua na elimu duni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:canada::hatari: Mimi mwenyewe nina rafiki yangu wa karibu tu kasomea mambo ya sera , mipango na uongozi katika elimu( bachelor of education in policy,planning and management) katika chuo fulani hapa nchini lakini kakosa kazi inayoendana na fani yake kiasi kwamba kaamua kufanya kazi nyingine nje ya kile alichokisomea, hiyo ndo Tanzania yetu.:A S 465::A S 465:Chuon wanafundisha mitaala na kwa maana hiyo kama taifa tuna wataalamu wengi sana wa mitaala kuanzia maprofesa kama Agness F. Njabili pale UDSM na wengineo weng lakin cha kushangaza "experts" kama hawa wizara imeshindwa kuwatumia ili kuandaa mtaala wetu halafu inafika kipindi watoto wamefeli tunaanza kutafuta mchawi eti "NECTA walitumia grade za juu" hii ni aibu sana kwa taifa kutokuwa na mtaala
Mimi kama mdau nahoji kitu kimoja kwamba hivi Tanzania tumewezaje kuwa na tabia ya kuachia masuala ya elimu kuendeshwa na wanasiasa ambao wengi wao hawana profesional ya elimu?