Chuon wanafundisha mitaala na kwa maana hiyo kama taifa tuna wataalamu wengi sana wa mitaala kuanzia maprofesa kama Agness F. Njabili pale UDSM na wengineo weng lakin cha kushangaza "experts" kama hawa wizara imeshindwa kuwatumia ili kuandaa mtaala wetu halafu inafika kipindi watoto wamefeli tunaanza kutafuta mchawi eti "NECTA walitumia grade za juu" hii ni aibu sana kwa taifa kutokuwa na mtaala
Mimi kama mdau nahoji kitu kimoja kwamba hivi Tanzania tumewezaje kuwa na tabia ya kuachia masuala ya elimu kuendeshwa na wanasiasa ambao wengi wao hawana profesional ya elimu?