Muongozo wa kuanzisha biashara ya shule ya chekechea(daycare)

Muongozo wa kuanzisha biashara ya shule ya chekechea(daycare)

samirer

New Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu ndugu zangu.

Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo:

1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili
2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable
3. Faida na hasara za biashara hii
4. Mchakato wa kupata walimu na namna ya uendeshaji ikiwemo mishahara na expenses nyngne za kiofisi

Nina mtaji wa 9M, natamani kufungua maeneo ya mjini nje ya mji siafiki sana nipo dar es salaam naishi Ilala.
 
Yuko jamaa mmoja anauza soft copy kitabu chenye maelezo ya kina sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240430_204619_Chrome.jpg
    Screenshot_20240430_204619_Chrome.jpg
    577.1 KB · Views: 34
Back
Top Bottom