Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
501
Reaction score
788
Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo
vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye:
  • Mtaji
  • Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali.
  • Vibali husika vya biashara
  • Kodi za bandarini na tra kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom