Gudasta JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 501 Reaction score 788 May 31, 2023 #1 Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa ujumla.
Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa ujumla.