Muongozo wa kujiunga kidato cha tano 2014 tafadhali!

Muongozo wa kujiunga kidato cha tano 2014 tafadhali!

NZELLA

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
37
Reaction score
4
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
WanaJF nimelazimika kuomba msaada wa namna watakavyojiunga kidato cha tano mwaka huu kwani mpaka sasa nimechanganyikiwa.Kwa mujibu wa Sera ya elimu ya mwaka 1995 Uk.48 inaeleza kuwa mtu atajiunga na kidato cha tano ikiwa atakuwa amefaulu kwa kiwango kisichopungua daraja la tatu i.e Div.III point 25.Kwa mwaka huu daraja la tatu linaanzia Point 25-31 hapo vp au kuna sera nyingine ya elimu ilitoka mm binafsi nikawa siko up to date.Je, Kidato cha tano sasa watachukuliwa mpaka point ngapi hasa/.TAFADHALI NAOMBA MSAADA WANAJF.
 
hii kitu inachanganya sana ila kwa waliopata div 3 uhakika wa kuchaguliwa 4m 5 ni mkubwa sana.hiyo sera ya elimu haitekelezwi hata kidogo maana kuna wanafunzi wa advanced level wanasoma bila kuwa na credit 3 na sera hairuhusu
 
watakao chaguliwa kwenda fm5 ni waliopata mwisho division gan na watakao chaguliwa ualimu ni wenye division four ya ngapiii
 
Hili litatolewa ufafanuz na waziri husika,au katibu mkuu wa wizara ya elim wakat wa selection,tuwe na subira
 
kwa mujibu wa wizara… advance kuingia ni C tatu na uwe na div 3
 
Ikifikia mda wake wa watahiniwa kuanza mhula itakaa sawa coz lazim 4m 5 waanze mwaka wa masomo"
 
kwa matokeo ya mwaka huu,watu wanazo hizo C 3 na wana IV za 30s
lazima iwe ni division 3 na C tatu ndo unaenda Advance kwa shule ya serikali.....hao wenye C tatu lakini wana division 4 ni private schools tu ndo zitawapokea mkuu
 
Wakuu mwaka huu ukiwa C 3 huendi 4m5 maana utakua na div 4 ya 32 lazima uwe C 4 Ambayo ni div 3 ya 31 na ndiyo ya mwisho hapo a-level itakuhusu, WEIT SELECTION
 
watakao chaguliwa kwenda fm5 ni waliopata mwisho division gan na watakao chaguliwa ualimu ni wenye division four ya ngapiii

Fm5 mwisho div 3 ya 31
 
kwa mujibu wa wizara… advance kuingia ni C tatu na uwe na div 3

C 3 no div 3 this year
 
Back
Top Bottom