Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

SSD 128gb kiasi gani mzee??
 
SSD 128gb kiasi gani mzee??

Habari mkuu. SSD za 128 GB hatuna. Tuna 256 GB. Karibu ujipatie 256 GB kwa bei ya 128 GB. Bei zetu kwa SSD za 256 GB ni 89,000 kwa 69,000 kutegemeana na aina.

M.2 NVMe ( yenye pengo moja) yenye ukubwa wa 256 GB ni 89,000. Na shilingi 69,000 kwa SSD zote zilizobakia zenye ukubwa wa 256 GB.

Je wewe SSD yako ni aina gani.?

Karibu tukuhudumie.
 
Sata SSD
 

Kama unamaanisha 2.5 inch SATA SSD hizo tunazo. Tuna Kingston, Kingspec na Western Digital. Zote zina warranty ya kuanzia miaka mitatu.

Bei zake ni
512 GB - 109,000 TSh
256 GB - 69,000 TSh.


NB ; Zote ni Brand new, wewe unakuwa ndiye wa kwanza kutumia.





 

Attachments

  • 0A63EFC0-0310-45AD-945C-F2530CE4FBD8.jpg
    85 KB · Views: 22
hamna nimedownload piratesbay lina 15gb
Uongo mkuu, kuwa makini na Virusi.

Fifa 22 nnalo na ni kubwa GB kama 40 so Fifa 23 ni zaidi ya hapo.

Kama una Hela kidogo Gamepass wanazo Fifa 21 na Fifa 22, subscription za magumashi miezi 2 ama 3 zipo kibao.

Hapa miezi 2 ni Euro 0.6 kama 2000 tu, unatumia Vpn kui activate nchi husika kisha unalogin nayo kwenye App ya Xbox kwenye pc, mara ya kwanza tu ndo unatumia vpn baada ya hapo unatumia tu kawaida.

Kuna game kama 400 hivi zinakuwa bure.
 
Asante chief
 
Gamepass ni service kama Netflix ila baada ya Movie na series unapata games.

Ukilipia unapata games bure kwa huo muda, subscription ikiisha unakuwa huwezi kucheza.
kaka nina budget ya m.1.3 nataka gaming laptop kuna duka lolote la used unalo lifahamu naweza kupata?
 
kaka nina budget ya m.1.3 nataka gaming laptop kuna duka lolote la used unalo lifahamu naweza kupata?
Ukienda Dukani kuzunguka ngumu kupata, cheki online kina kupata, Jiji etc then uliza maduka yao pitia.

Mfano hii


Ina Gtx 1060 gpu nzuri tu, ana version 2 nzuri ni hio 1060, 1050 ya kawaida.
 
ameshauza hii kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…