Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Sawa boss sasa kwa uzoefu wako kwa bajeti hii niende chimbo lipi ninapoweza kupata kitu kizuri aisee
Tumia FB marketplace tafuta contact tembelea duka husika.

Maduka mengi ni hit and miss, unakuta kwenye Laptop 100 ni 2 ama 3 ndio zina value.
 
Chief kuna hii dell i3
,10 generation,
ram 12 gb
,1tb hdd
,15.6 inches.
3 hours battery
Bei ni 500,000
 
Chief-Mkwawa nisaidie hii ya kwangu desktop Iko hivi:
 
Attachments

  • IMG_20240501_145047_441.jpg
    4.6 MB · Views: 16
mkuu hii ya kwangu ni nzuri au nitafute nyingine:
 
Attachments

  • IMG_20240501_145047_441.jpg
    4.6 MB · Views: 17
mkuu hii ya kwangu ni nzuri au nitafute nyingine:
Matumizi gani unafanya? Hapo uki upgrade ram hadi 16GB na cpu kwenda i7 4790 una machine nzuri tu.

Na kama huna matumizi heavy upgrade ram kwenda 8GB na weka ssd utakua bado na machine nzuri kufanya matumizi ya kawaida.
 
Samahani Chief-Mkwawa nipo nje ya mada kidogo nina bajeti ya laki 4 ni simu gani naweza pata isiyo chemka hovyo maana nataka niweke na game 1 au 2 hv.
 
Samahani Chief-Mkwawa nipo nje ya mada kidogo nina bajeti ya laki 4 ni simu gani naweza pata isiyo chemka hovyo maana nataka niweke na game 1 au 2 hv.
Kwa mtumba simu za snapdragon 865 kama S20FE unapata kwa hii budget ni nzuri kwa games.

Kwa mpya snapdragon 4 gen 1 simu kama Xiaomi redmi note 12, ukikosa kabisa angalau Helio G99 simu kama Galaxy A15.
 
Ooh! Asante sana, Xiaomi Redmi note 12 kwa mkoa nao ishi ni 380000 na Samsung galaxy A15 ni 450000 sasa sijui nichukue ipi hapo.
 
Ooh! Asante sana, Xiaomi Redmi note 12 kwa mkoa nao ishi ni 380000 na Samsung galaxy A15 ni 450000 sasa sijui nichukue ipi hapo.
Note 12 nzuri zaidi na A15 ni kama backup tu.

Sema mkuu hakiki ni note 12 yenye snapdragon 4 gen 1, kuna variety nyengine kama 12C, sijui redmi 12 etc ambazo zina processor dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…