Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

HUYU JAMAAA HAZINA SANA[emoji122] [emoji122]
 
Asante
 
hakuna cpu kama hio kuna i3 4100u na i5 4200u angalia vizuri. na unaulizia nzuri kwa nini?
Chief-Mkwawa vipi hii machine in term of performance ya gaming na rendering
System Manufacturer: HP
System Model: HP Notebook
BIOS: InsydeH2O Version 05.04.43F.11
Processor: Intel(R) Core(TM) i3-5005U CPU @ 2.00GHz (4 CPUs), ~2.0GHz
Memory: 4096MB RAM
Available OS Memory: 4016MB RAM
Page File: 1582MB used, 3842MB available
Windows Dir: C:\Windows
DirectX Version: 11.2
DX Setup Parameters: Not found
User DPI Setting: Using System DPI
System DPI Setting: 96 DPI (100 percent)
DWM DPI Scaling: Disabled
Miracast: Not Available
Microsoft Graphics Hybrid: Not Supported
DxDiag Version: 10.00.10240.16384 64bit Unicode
 
sio nzuri mkuu, hizo cpu zinazoishiwa na u zinazingua kwenye software zinazohitaji perfomance kubwa. labda ufanye rendering ya gpu tena kwa software inayokubali quicksync. kwa lugha nyengine usitumie software za adobe.

kwenye games utacheza games ndogo ndogo na za zamani ila games kubwa za 2017 itazingua
 
software yoyote ya kisasa huwezi activate kwa key ya kuchakachua hadi ununue, hio pc yako ilikuja na windows gani? chini kwenye kitako hakuna keys?
Mwanzo sijajua ilikuja na window gan nlichukua kwa mtu jamaa aliniwekea windows 10.... Chini ya kitako nazigunduaje key?
 
Vip kuhusu core m3?
Inauwezo kulinganisha na zipi hapo
 
Vip kuhusu core m3?
Inauwezo kulinganisha na zipi hapo
zipo core m3 za aina tatu mpaka sasa hivi, generation ya tano, sita na hii ya saba.

core m ina clock ndogo sana 0.9ghz pengine hadi 1.4ghz hivyo inapitwa na core i3/i5/i7 lakini ina turbo boost ambayo inafika 3ghz sometime inazidi hapo.

hivyo kwenye stock core m inakuwa slow kidogo ila ikiburst na kufika 3.0ghz i3 anapitwa,

hivyo hapa kwa haraka haraka kuna situation mbili.
-kwa matumizi ya kawaida core m3 itakuwa faster kuliko i3 sababu kukiwa na load kubwa itaongeza clock na kufanya kazi kwa haraka kisha kurudi kama mwanzo

-kwa matumizi makubwa i3 itakuwa faster kuliko m3 sababu i3 itaoperate kwa clock kubwa mda mrefu wakati m3 itashindwa kukaa 3.0ghz kwa muda mrefu itashuka
 
 


H

software yoyote ya kisasa huwezi activate kwa key ya kuchakachua hadi ununue, hio
pc yako ilikuja na windows gani? chini kwenye kitako hakuna keys?


Habari mkuu unazungumziaje hizi t mobile maan nmeiipta ya lg g3 iko poa shida ni hiyo tu je nichukue hii au c9 tecno maana huwa natumia sana halotel ambao hawana 4g haitoni cost?
 
H




Habari mkuu unazungumziaje hizi t mobile maan nmeiipta ya lg g3 iko poa shida ni hiyo tu je nichukue hii au c9 tecno maana huwa natumia sana halotel ambao hawana 4g haitoni cost?
angalia mkuu inasoma hata hio 3G? maana nijuavyo simu za T mobile hata 3G inaweza ikazingua.

pia angalia mambo mengine kama ussd, sms charachter, uwezo wa kushika network etc mengine utayaona humu

Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…