Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Shukran.... sn ... ila ningeomba kuliza.. kuhusu hizi laptop zinazotoa joto na zile zisizotoa joto... Jee ki afya zina madhara tofauti ukiweka kwenye mapaja au zimezidiana... ?
 
Chief-Mkwawa nimerudi tena. Nisaidie njia (kama ipo) ya kutoa data kama video au images toka kwenye "Nox" ambayo imekuwa installed kwenye PC na ku-save hizo data kwenye PC.
Nox ni kama "youwave" au "bluestacks".
Asante.
 
MSAADA jamani
Dell xps M1330
Processor- Intel (R) core (TM) duo processor
Hdd 500-GB

Inafaa jamani?


Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Chief mkwawa ahsante sana brother but pls fanya kama unaweka picha za hiyo gpu ikiwa ndani ya mashine au nje, especial kwenye desktop
 
Na pia tusaidie brother nahitaj kununua gaming desktop ambayo pia itatumika kwenye masuala ya editing so pls nisaidie my brother.
 
Nisaidie chief mkwawa nahitaji gaming desktop ambayo pia itatumika kufanya editing ya video production so plz nipe somo na wapi naweza pata kifaa hicho kwa bei chee
 
Chief mkwawa ahsante sana brother but pls fanya kama unaweka picha za hiyo gpu ikiwa ndani ya mashine au nje, especial kwenye desktop
gpu ni kitu kama hiki mkuu



ukifungua motherboard yako utaona kitu kama hiki, kuna slot ambazo unaweza ukachomeka vitu



unaichomeka hio gpu yako umemaliza kazi. hizo red ndio sehemu za kuchomeka, kuna za ram na pcie ambazo unaeka gpu, baadhi ya ssd ambazo sio sata na wifi etc



sio kazi ngumu kabisa, kuelewa vizuri ni vyema uangalie video youtube.
 
Nisaidie chief mkwawa nahitaji gaming desktop ambayo pia itatumika kufanya editing ya video production so plz nipe somo na wapi naweza pata kifaa hicho kwa bei chee
utahitaji desktop ya i7 generation ya tatu, hizi hupatikana mtaani kwa around laki 4 kupanda kutegemea na aina na specs nyengine.

gpu itabidi ununue AMD radeon RX 550 hii inatumia umeme watts 50 tu hivyo inafaa mazingira yetu ya kiAfrika, ambayo machine zina power supply ndogo na umeme unauzwa bei ghali.

cost overall itakuja kama 700,000 hivi, hio gpu uagizie online inauzwa around dola 80.

hapo pia utataka monitor au utaamua mwenyewe kama utatumia tv, inakuja na HDMI hio gpu.
 
Dah jamaa wewe, be blessed guy so kwa bongo siwezi pata gpu? Na desktop nielekeze duka ambalo naweza pata plz usituchoke brother.
 
Dah jamaa wewe, be blessed guy so kwa bongo siwezi pata gpu? Na desktop nielekeze duka ambalo naweza pata plz usituchoke brother.
bongo zipo lakini bei ni pasua kichwa, hawa jamaa wanayo ila wanauza laki 4 hio rx 550. hivyo kama upo tayari kununua kitu cha dola 80 kwa hio bei (plus kodi) hakuna neno

XFX Radeon RX 550 DirectX 12 RX-550P2TFG5 2GB 128-Bit DDR5 PCI Express 3.0 Video Card – Epic Computers

kuhusu desktop unazipata discountkubwa sema nina wasi wasi kama wanayo hio ya i7, kwenye website yao naona i5 3rd gen kwa laki 3.

Discount Kubwa
 
Mkuu hii si kwa kiswahil rahis yaitwa video controllers o nvidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…