Joe Unruly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 203
- 187
Mkuu samahanisauti ya kuwaka ni ipi? ni windows ipi?
possibility kubwa huna drivers za graphics mkuu, unapoeka windows mpya unatakiwa ufanye mambo kati ya haya mawili.Mkuu samahani
PC yangu n Toshiba ilikuwa na win 8.1 32 bit ikawa inaplay video zote freshi yani 720p na 1080p
Nkaiangusha nkaweka win 7 64bit nlpoweka tuu aisee video zote za 1080p znazngua kuplay...nyngne znascratch nyngne pcha inakua mbaya na mistari mistari msaada mkuu.
sio kwamba haizimi hapo ina sleep tu? jaribu hiviNina hp envy x360 i5 touch screen tatizo lake kuna wakati huwa inasumbua kuzima kwenye power off hata ukizima inaendelea kufanya kazi keyboard na power button inakuwa on, tatizo limekuja baada ya kuaupgrade 10 kabla nilikuwa natumia windows 8.1 hakukuwa tatizo nimejaribu kwenda google kutafuta soln lakini imeshindikana msaada wetu jamani
Mkuu Chief Mkwawakaka jina halijakamilika kila processor inakuwa na namba zake iangalie vizuri then ilete tena
mkuu wap naweza pata monitor 1080p resolution kwa hapa bongo,price yake inaanzia ngapsio kwamba haizimi hapo ina sleep tu? jaribu hivi
click start kisha chini pale bonyeza alama ya kuzima kisha chagua shut down uone kama still itaendelea hivyo
pia baadhi ya mashine ukizima ila ukiwa umechomeka adapter kwenye umeme vitu kama mouse na keyboard havizimi.
imeandikwa hvsio mimi kaka huyo,
dah nilikuwa sijaingia michuzi siku nyingi dah hii ni too much
juu kuna matangazo ya banner 17
pembeni kuna vitangazo 14
tona yote yameekwa kwa njia ambazo sio za kiprofessional hadi adblock inashindwa kuyatoa
generation ya tatu, ivy bridge,imeandikwa hv
intel (R) celeron(R) CPU 1005M @1.90GHz ni generation ngp?
kwa used nenda mtaa wa likoma kariakoo, anzia uhuru na likoma nenda mbele kuna maduka mengi yana monitor pale, pia machinga complex zipo za kutosha. bei around 100,000 hivi kuendelea, zipo za 1024p sio full HD lakini ni almost there hizi hadi 60,000 zinapatikana.mkuu wap naweza pata monitor 1080p resolution kwa hapa bongo,price yake inaanzia ngap
Mkuu Chief Mkwawa
Samahani Naomba Kuuliza Jambo Tofauti Unajua Nimechomekea
Kuna Simu Nilikuwa Nayo Samsung Galaxy Core Prime Kuna Muda Nikitumiwa Ujumbe Wa Kawaida Napokea Neno Hili <<< Content not supported >>> Hii Inatokana Na Nini
Japo Anayenitumia Ujumbe Nikimuuliza Anasema Ameniandikia Ujumbe Vizuri Sana
Nilibadili Simu Samsung Galaxy J3 6 LTE
Nayo Kwenye Matumizi Kuna Siku Nilipokea Ujumbe Usemao <<< Content not supported >>>
Tatizo Hili Husababishwa Na Nini
Ama Hilo Siyo Tatizo
Tafadhali Naomba Wajuzi Ufafanuzi Wenu
oky chief,naangalia gtx 1050 bei yake iko juuu xanaa, wap naweza kupata 750ti used kwa bei rahisi sana,bajet yangu ndogo sanakwa used nenda mtaa wa likoma kariakoo, anzia uhuru na likoma nenda mbele kuna maduka mengi yana monitor pale, pia machinga complex zipo za kutosha. bei around 100,000 hivi kuendelea, zipo za 1024p sio full HD lakini ni almost there hizi hadi 60,000 zinapatikana.
mpya cheki mjini maduka kama capricon lipo morogoro road, wapo pia city mall nafkiri, sema bei zao zimechangamka kidogo, wana hadi wide monitor za gaming, andaa kama laki 5 hivi au zaidi.
mkuu RX 550 ni nzuri kushinda 750Ti, kibongo bongo 750ti ni humo humo kwenye laki 4 hadi 5.oky chief,naangalia gtx 1050 bei yake iko juuu xanaa, wap naweza kupata 750ti used kwa bei rahisi sana,bajet yangu ndogo sana
Shukrani Sana Chief-Mkwawa Kwa Ufafanuzi Huo1. android zina tabia msg ikizidi herufi 160 wanaiconvert automatic kwenda mms, kama hujaiset mms au mtandao haukubali litakuja neno kama hilo. mwambie huyo mtu ajaribu kutuma neno kama baba au mama au msg fupi uone kama linatokea hilo tatizo.
2. maybe anatuma kitu ambacho hakipo supported na sms kama picha hivi au baadhi ya emoji etc.
Kwa maelezo huko juu umeandika ukisoma hiyo namba ya kwanza hapo kwenye 1005M ni no. 1 mie nilifikiri itakuwa first generation au we umeangalia factor ipi nyingine? Msaada.generation ya tatu, ivy bridge,
angalia hapa
Downloads for Intel® Celeron® Processor 1005M (2M Cache, 1.90 GHz)
chagua windows 7 64bit then download hio driver ya graphics.
mkuu intel wana tabu sana kwenye kutoa majina ya cpu zao, hizo generation kwenye i3/i5/i7 ndio zipo hivyo.Kwa maelezo huko juu umeandika ukisoma hiyo namba ya kwanza hapo kwenye 1005M ni no. 1 mie nilifikiri itakuwa first generation au we umeangalia factor ipi nyingine? Msaada.
kwa uhakika zaidi google cpu husika, result ya kwanza itakuwa site ya ark intel ukiiclick utaona specs za cpu.Kwa maelezo huko juu umeandika ukisoma hiyo namba ya kwanza hapo kwenye 1005M ni no. 1 mie nilifikiri itakuwa first generation au we umeangalia factor ipi nyingine? Msaada.
Asante ndugu, nimekuelewa.kwa uhakika zaidi google cpu husika, result ya kwanza itakuwa site ya ark intel ukiiclick utaona specs za cpu.
Mkuu kote uko nafahamu nimepita kabla nilipoweka windows ilikuwa inashut down vizuri hata hp wenyewe wanakili na nimejaribu kuingia forums nyingi tu nimejaribu njia zote lakini imeshikanasio kwamba haizimi hapo ina sleep tu? jaribu hivi
click start kisha chini pale bonyeza alama ya kuzima kisha chagua shut down uone kama still itaendelea hivyo
pia baadhi ya mashine ukizima ila ukiwa umechomeka adapter kwenye umeme vitu kama mouse na keyboard havizimi.
mebskivt wrote:sio kwamba haizimi hapo ina sleep tu? jaribu hivi
click start kisha chini pale bonyeza alama ya kuzima kisha chagua shut down uone kama still itaendelea hivyo
pia baadhi ya mashine ukizima ila ukiwa umechomeka adapter kwenye umeme vitu kama mouse na keyboard havizimi.
sleep issue ilikuwa solved na updates, ilikuwa toka 2015 sidhani kama bado ipo 2017.mebskivt wrote:
I have had the issue since I upgraded to Windows 10 Pro 64 bit since July 29th. Once I have used my PC for more than 15 minutes, it never shuts down. I have to use the power button to turn it off. The research I have done indicates many of the quick fixes mentioned by others regarding this issue. There was an interesting article in October 2014 in which those who were tasked with running Windows 10 thru its paces before the release date identified this as an issue. Microsoft issued KB3010668 to address this issue. However, no one seems to have a clue where this KB is presently. With so many HP users having this problem, one would think HP would voice its concerns to Microsoft.
Huyu ni mmoja kati mhanga wa hili tatizo