Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Unaingia kwenye setting kisha graphics. Unapunguza hadi utakapoona haikwami kwami.

Kikawaida ukiwa unacheza game na kubinueza esc ama button unayotumia kupause kuna menu inatokea na option nyingi nyingi ikiwemo graphics, audio, controller etc
Pamoja mkuu
 
Mkuu unanishauri vipi hapa?
Kuna tablet zinazotumia processor za snapdragon na nyingine zinatumia atom processor mfano google pixel slate inatumia intel m processor
.
Ipi tablets nzuri kati ya hiyo atom processor au snapdragon?
 
Mkuu core m sio atom, na core m ina nguvu kushinda snapdragon yoyote ile ni processor inatumika mpaka kwenye laptop za bei ghali.

Hivyo hio slate itakuwa na nguvu zaidi kushinda tablets za kawaida. Ila mwisho wa siku itatagemea na unataka kufanya nini kwenye hio laptop.
 
Sawa mkuu mimi napenda kitu powerful ili napopiga kazi nzito nisipate usumbufu.
Hii tablet basi niz nzuri sana mkuu.
Vipi umewahi tumia Chrome OS? ndiyo iliyo kwenye google pixel slate.
 
Sawa mkuu mimi napenda kitu powerful ili napopiga kazi nzito nisipate usumbufu.
Hii tablet basi niz nzuri sana mkuu.
Vipi umewahi tumia Chrome OS? ndiyo iliyo kwenye google pixel slate.
Chrome os si kwa ajili ya kupiga kazi nzito, kama unataka inayopiga kazi nzito inabidi utafute ya windows. Na inategemea pia hiyo kazi nzito ni ipi, maana kuna kazi nzito hazifanyiki kwenye tablets kabisa.

Chrome os ni nzuri kwa ajili ya browsing na kutumia web apps, pia siku hizi ina supoort ya androd Application.
 
Nimekupata mkuu.
 
Intel vitu vyao bei ghali sana nimeuza pc yangu ya intel sasa nimehamia kwenye ulimwengu wa AMD nimeanza kufanya building Nataka nitengeneze pc moja kali ya AMD na Gpu Nvidi 750ti 2gb gddr5
Processor >nimenunua amd FX series FX4300 3.8 ghz Quad core
Mobo >nime chukua Asus M5A78L LE Desktop Motherboard 760G Socket AM3+
gpu> ni gtx 750ti inacheza almost games zote kwa high mpaka medium kwa almost 40fps

GPU

Note hiyo ni budget pc building
 
Kuna rafiki yangu anataka pc ya gaming hasa icheze gta V na nyingine kubwakubwa sasa je awe na minimum ipi mkuu?
Na anaweza pata kwa bei gani na wapi zinapatikana kwa Dar hizi vitu.
Chief-Mkwawa

Minimum laki 8 hivi au hata 7 kama atatafuta vizuri, i3 kuanzia 6th gen. Sio laptop za gaming ila inacheza hilo game kwa low setting.

Kwa gaming laptop za bei rahisi ni around dola 600 ambapo huku kwetu ni around 1.5m mpaka 2m.

Zipo madukani za kutosha ukienda kkoo uhuru ama laptop city etc
 
Ni desktop mkuu sio laptop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…