Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina jamaa anataka nimchekie LAPTOP hana matumizi makubwa zaidi yeye anapenda mambo ya Dj tu labda kucheck movie na music maana ni jamaa tu wa mkoani huyu Pc gani inamfaa mkuu bajeti yake 200k tu iwe mpya au used na isiwe mini na vipi zile used za k/koo unashauri nini.Ahsanteh
Chief-Mkwawa
 
1. Hakuna laptop mpya ya 200k
2. Sidhani kama atapata zaidi ya core 2 duo kwa hio budget.
 
Nawashukuru kwa mada hii muhimu tunaelimika
Niombe kuuliza ni hatua zipi muhimu katika kutatua tatizo LA blue screen kwa laptop maana hii hali inatokea ghafla na kushindwa kuona icons katika desktop view yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa nimekutana na core i7 2620m @2.70 ghz, nahitaji ushauri wako kwa sababu jamaa anahitaji laki 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…