Labda udownload drivers manually toka site ya intel kama link niliyoweka hapo juu.Dell inspiron..... ipo na core i3 2nd gen. Nikiupdate graphics drivers inawaka ikifika mda wa kurun system haidisplay chochote hata ikikaa miaka miwili. Shida itakuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni series ya Glen forest zamani zilikuwa kwenye xeon wakaleta kwenye mobile cpu pia. Haina gpu ya ndani na baadhi ya vitu unavyovikuta kwenye cpu za kawaida kama turbo boost. Ila imeongezwa vitu vya ki.pro zaidi kama baadhi ya instructions na memory za ECC.
Ya kizamani sana mkuu kabla hata i series hazijazaliwa zaidi ya miaka 10 iliopita.
Performance maana hiyo ni quadcoreYa kizamani sana mkuu kabla hata i series hazijazaliwa zaidi ya miaka 10 iliopita.
Ya kizamani sana mkuu kabla hata i series hazijazaliwa zaidi ya miaka 10 iliopita.
Ina perfomance kubwa kushinda core 2 duo, ila inaachwa mbali na dual core ya kisasa.
Kwa budget yetu ya kibongo kwa hizo performance naona sio mbaya sana maana ukiaangalia bei ya hiyo core i3 6gen ni kubw kishenzi kuliko hako ka quadcore ka zamaniIna perfomance kubwa kushinda core 2 duo, ila inaachwa mbali na dual core ya kisasa.
Mfano Q9400 perfomance
-single core 1127
-multi core 3341
Compare na i3 ya kisasa kama i3 7300.
-single core 2308
-multi core 6378
Hivyo unaona dula core yenye hyperthread ya kisasa ina nguvu kama mara 2 ya quadcore ya miaka 10 iliopita.
I5 2nd gen au 3rd gen zinapatikana rahisi kama 250,000 hivi.Kwa budget yetu ya kibongo kwa hizo performance naona sio mbaya sana maana ukiaangalia bei ya hiyo core i3 6gen ni kubw kishenzi kuliko hako ka quadcore ka zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
I5 2nd gen au 3rd gen zinapatikana rahisi kama 250,000 hivi.
Unapata same perfomance ama kubwa kidogo kushinda hio i3 ya 7th gen.
Yap kuanzia 8th gen i3 ilipoanza kuwa quadcore ndio i3 imeipita i5 za zamani 2nd to 7th.
Naomba unipe tathmin yake maana alinitahadharisha kuhusu charging system yake. I am little bit worried maana siko vizuri katika behavior za ku charge hivi vifaaMkuu Mkwawa Kuna huu mzigo mshkaji kaniletea
Dell E 6400 Series
Windows 10 Pro
Processor - Intel(R) Core(TM)2 Duo CPU P8600 @ 2.40GHz 2.40 GHz
Installed mem(RAM) 4 GB
System Type 64.bit operating system, x64- based processor
Name DESKTOP- TDF4UPS
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi inazingua ikikaa muda hujaigusa kama dakika hivi cursor ina stuck mpaka u switch off kwenye button halafu uwasheNaomba unipe tathmin yake maana alinitahadharisha kuhusu charging system yake. I am little bit worried maana siko vizuri katika behavior za ku charge hivi vifaa
Ni Latitude E 6400 Series
Sent using Jamii Forums mobile app