Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Shukrani sana kk
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nayo mkuu, ni bora utafute i3 generation za karibu kuliko i7 gen ya 2, hasa kwa laptop.

Unless hio laptop ina dedicated graphics. Kama Nvidia
Mkuu Mkwawa,Nina flash tatizo lake kutosoma/kuto-dectect,ilitokea ghafla baada ya umeme kukatika,nahitaji solution ya ku-recover taarifa/data zangu zilizokuwemo maana zina umuhimu kweli,kama Kuna eneo lolote hapa Tz/bongo wanatoa huduma hii itakuwa itakuwa msaada mkubwa kwangu.feedback yako ni muhimu Sana Sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unipe darsa kuhusu graphics nizidi kuiva maana hapo kwenye processor umeua.
 
mkuu Quad core processor(intel pentinium 3250 2.2ghz (4core)
hii ina sifa gani mkuu
 
mkuu Quad core processor(intel pentinium 3250 2.2ghz (4core)
hii ina sifa gani mkuu
Hope unamaanisha pentium G3250 hio sio quadcore ni dual core, ina core mbili tu.

Ni 4th generation na perfomance yake ni ya kawaida tu.

Sema inashare same motherboard na i3/i5/i7 za 4th gen. Unaweza ukanunua hizo cpu na kupachika kuongeza uwezo.
 
Hapana Ni N3250 alafu ni laptop
 
Ni lenovo w520
Intel core i7-2860qm @ 2.5 ghz
RAM 8 GB
INVIDIA QUADRO 1000
Directx 11.2
Ntacheza game gan hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…