Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,101
Hata havifananishiki mkuu, 1650 Ni Kama Mara 4 ama 5 faster compare na Vega 8, 1650 Ni gaming ya 1080p hio kwa quality nzuri tu.Kwani 150mx na 940mx 4gb ipi ina uwezo zaidi?
Tuseme nina pc core i5 6th gen with gtx 1650(desktop)
Na na hiyo vipi ukizicompare na hiyo ryzen 5 with radion vega 8(laptop)
Maana zote gharama inaingia humo humo mil 1 hadi mil1.3
740 gtx Ina nguvu kuliko hd 620, almost Mara 2 zaidi.Intel hd yenye 620hd vram 128mb. Je inaweza ikapaform sawa na 740gtx invidia yenye 2gbvram
SAD ni kitu gani chiefunaweza ukaiongeza perfomance kwa kuweka sad. Itaifanya iwe fast lakini still hutaweza kufungua apps na games nzito.
Ssd mkuu naona auto correction imefanya Mambo yake Hapo.SAD ni kitu gani chief
Kuna gen ya 10 Sasa Hivi.Maisha zinakwenda kwa kasi sana. Leo hii generation ya saba nayo imekuwa old kidogo kwa matumizi ya kisasa.
Naona. Na ktk hii Thread kama miezi flan imepita naona 7th gen anapigwa kwa raia wenye budget na matumizi makubwaKuna gen ya 10 Sasa Hivi.
Issue kubwa iliofanya gen 7 kuwa outdated Ni kwamba gen ya 8 Intel ame double core.Naona. Na ktk hii Thread kama miezi flan imepita naona 7th gen anapigwa kwa raia wenye budget na matumizi makubwa
Issue kubwa iliofanya gen 7 kuwa outdated Ni kwamba gen ya 8 Intel ame double core.
-Zamani i3 ilikuwa Ni core 2 na thread 4 Sasa Hivi i3 Ni core 4 (quad-core)
-i5 ndio ilikuwa core 4 Sasa Hivi Ni core 6
-zamani i7 Ni core 4 thread 8 Sasa Hivi i7 Ni core 6 Hadi 8.
Ukija kwenye laptop ndio kabisa, i3 ya gen mpya hizi inashindana vizuri na i7 ya gen ya 7.
i3 8130U
View attachment 1212278
i7 7500u
View attachment 1212279
Hivyo unaona hakuna utofauti Sana wa perfomance, Ila kwenye Bei hio i7 utapigwa Bei kubwa wakati perfomance hio hio unaipata kwenye i3 ya 8th gen.

Hio Ni Bei ya cpu lakini inakuwa sio sahihi Intel wanaandika tu. Bei ya i3 Ni around dola 80 mpaka 120 Hivi tegemea na hio version.Hiyo core i3 bei naona ya kawaida 280$
Hapo ni full au cpu tu?
Hio Ni Bei ya cpu lakini inakuwa sio sahihi Intel wanaandika tu. Bei ya i3 Ni around dola 80 mpaka 120 Hivi tegemea na hio version.
Ila laptop za i3 Ni around dola 300, amazon Hapa naziona $315, yenye 8th gen i3. Na hio Ina windows zenye dos itakuwa chini ya Hapo.
Gpu mkuu itakukwamisha, utacheza games nyingi Ila latest nyingi zitakupa shinda. Subiria i3 za 10th gen zimeshazinduliwa tayari na dakika yoyote zinaingia sokoni. Gpu yake itahandle Hadi kwa 1080p itadouble perfomance.Okay sawa,kwahyo laptop ya i3 8th naona naweza cheza latest game kabisa..naona bei ni ya kawaida sana
Gpu mkuu itakukwamisha, utacheza games nyingi Ila latest nyingi zitakupa shinda. Subiria i3 za 10th gen zimeshazinduliwa tayari na dakika yoyote zinaingia sokoni. Gpu yake itahandle Hadi kwa 1080p itadouble perfomance.
Au Kama Unataka kwa Sasa cheki ryzen 5 series kama 2500u ama 3500u yenyewe Bei zake Ni around dola 350 mpaka 400 Hivi na Gpu yake Vega 8 imetulia Sana Kama Nvidia 1030 ya desktop.
Mie nilimwambia, nahisi kuna utapeli fulani, lakini nilihitaji kusikia zaidi kutoka kwa walionizidi.
PC heavy jamaa anaziuza laki nne laki tano
Hawa jamaa wanaitwa computer beipoa unawapata mkuu?? Wako insta
Gpu mkuu itakukwamisha, utacheza games nyingi Ila latest nyingi zitakupa shinda. Subiria i3 za 10th gen zimeshazinduliwa tayari na dakika yoyote zinaingia sokoni. Gpu yake itahandle Hadi kwa 1080p itadouble perfomance.
Au Kama Unataka kwa Sasa cheki ryzen 5 series kama 2500u ama 3500u yenyewe Bei zake Ni around dola 350 mpaka 400 Hivi na Gpu yake Vega 8 imetulia Sana Kama Nvidia 1030 ya desktop.
Ndio mkuu italeta utofauti. Ila kuna mambo kwanza inabidi uchunguze.Mkuu namimi nimenunua laptop ya ryzen 5 2500u na 128gb SSD, 1Tb hdd na 1×8gb ddr4 RAM je performance different ya hiyo ram na 2×4 ni kubwa sana au niiache hii hii tu. Inatumika kwaajili ya gaming kidogo na ms word e.t.c. Na kama unajua 8gb 2400mhz hapa bongo itakuwa sh ngap.?
Huu uwezo wa processor sio mzuri.CPU model: Intel i3-8145U, 2.1GHz