Habari wadau
natumia startimes tv ya flat, sasa kwa upande wa kulia juu, kwa siku hizi kunajitokeza
kisanduku cha barua ambacho kuna ujumbe nimetumiwa natakiwa kuusoma, nimejaribu kukifungua kutumia remote nimeshindwa, naomba muongozo wa
namna ya kuweza kukifungua kisanduku