Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 793
- 1,740
Imani yangu inaniruhusu mkuu.Kila la kheli katika biashara yako ya laana
Upo mkoa ganiHabari ya Leo wakubwa,bila shaka mnaendelea salama na majukumu yenu.
Nina mpango wa kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe kibiashara na Nina eneo la hekari moja.
Ninaomba kujuzwa mambo yafuatayo;
1.Mbegu nzuri ya nguruwe hasa kwaajili ya kuzaa na nyama.
2.Bei ya kununulia nguruwe wadogo huanzia bei ipi Hadi ipi?
3.Kwa kuanza na nguruwe 15 natakiwa kuwa na kianzio Cha mtaji wa shilingi ngapi Hadi kuja kuanza kuwauza?
4.Changamoto ya ufugaji nguruwe.
5. Tahadhali ninazotakiwa kuwa nazo kabla na wakati wa kuanza ufugaji.
Asanteni
Niko mkoa wa mwanzaUpo mkoa gani
Duuuuh huo ugonjwa ukoje?Mkuu hongera,shida kuu ya hili la ufugaji wa nguruwe kwa sasa ni ile homa ya nguruwe ambayo kwa kipindi cha mvua huenea kwa kasi sana.
Shukrani,nitamtafutaMtafute malafyale ni member humu jf,huyu ameandika kitabu kinaitwa ufugaji wa nguruwe wenye tija kitakusaidia