Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

MUCOS

Member
Joined
Jun 24, 2024
Posts
99
Reaction score
357
Wakuu heshima kwenu.

Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali.


Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa haraka.

Asanteni sana.
 
Nenda kariakoo fire kwenye shell ya puma Kama sijakosea cheki cheki Kuna stationary inaitwa Desafari's.
 
Back
Top Bottom