Muosha huoshwa

Safi kabisa nimeipenda ,fanya Kama unamtaja kwa I'd yake huyo bwana nimcheke haswa .
 
Kuna demu alikua anauza mashuka, mwamba kaagiza akapotea hewani mzigo ulipofika kituoni.
Demu nae ka buy time, siku jamaa kasahau, demu kajibebisha, jamaa kanaa kapanda gari, anafika stand, simu haipatikani.

Baadae sana akili ikarudi akakumbuka alichofanya, akarudi home.

Ila huyo jamaa sio mimi.
 
Safi sana , muosha huoshwa ! Watu wapuuzi kama hao unalipiza kisasi,,, ! Nje ya mada mda kidogo kama 4yrs back kuna dem alikuwa mtu wangu,,,, mashauzi mengi, mzigo napewa manati, mara mnaweza panga outing from no where anakansel, nikasema ngoja, nikamsalandia mdogo ake nikala na nikahakikisha amejua,,, ! Ile familia walinilaani sana lakn haina maana tena !! Karma bitch
 
Upo vizuri mkuu, ila avatar yako imekaa kiutani utani sana ni ngumu kuamini ulichoandika.
Miaka 10 iliyo pita, kuna dada alikua ananichukia sana hapa Jf sababu ya avatar...πŸ˜‚
Basi ikatokea tukakutana kwenye gathering flani ya Jf members, sasa tukajikuta tupo karibu sana (hapa wakubwa wamenielewa)...😊 baada ya kuwa karibu kwa miezi kama 6 ndipo akaja akagundua kwamba Ushimen ndio mimi...😜
Kwa leo naomba niishie hapa...😝
 
Fisi wewe ulikomba bucha🀣
 
Tatizo lako wewe ni mtu wa chai
 
Mbona mbaya hiyo!!
 
Kisasi ni haki ila kusamehe ni bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…