Muosha anaekusudiwa kwenye msemo huo ni muosha maiti.
Lakini hata huyo muosha maiti naekuna siku atakufa na kuwa maiti na kulazimika kuoshwa kama alivyoosha wenziwe
Hivyo muosha nae ipo siku yake nae ataoshwa
Hivyo Waswahili huitumia nadharia hiyo kueleza kuwa ukijifanya mjanja kuna siku na wewe ujanja kama ule utakugeukia.