Duh, kweli we mgeni huku, yaani umeingia na sahani ya chakula chooni, halafu unakula bila wasiwasi? siyo kosa lako, mpo wengi nyiny mnakuja washamba kesho mnatutukana wenyeji wenu, hata hivyo karibu sana.
Natamani kujua Yule Headmaster Muhindi wa UYUI secondary school Tabora, Yuko wapi siki hiziiii