Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

Waliotolewa kwenye champions league wanakutana kwenye confederation cup. Kwa ufupi haya mashindano ni ya walioshindwa, yaani kombe la washindwa. Akina Zamalek, Al Ahly na ASEC wapo kule kwa wababe. Hili ni kama kombe alilochukua Sevilla (eti fainali Sevila vs Liverpool)!
 
Ni kombe hili hili mnalotambia kuwa mlifika Fainali Afrika 1993, mlicheza mechi dhidi ya:
1. Ferroviaro ya Msumbiji
2. Atletico Aviacao ya Angola
3. El Harrach ya Algeria
4. Stella Abdijan ya Ivory Coast

Mlizitoa timu 3 tu na kuingia fainali. Hebu hesabu sisi tumecheza na timu ngapi na ni timu ngapi tutacheza nazo hadi kufikia fainali.

Poor mikia!!!!!
 
Namshauri hizo pesa waanze kujaza kifusi pale kwenye lile bwawa lao la kufugia kambale halafu kama zitabaki ndio aangalie hayo mengine yasiyomuhusu
 
Nashangaa wanaSimba wanamshangaa nini jamaa.Hivi Simba ingekua inafanya vizuri maneno ya kuudhi angetolea wapi?Na kama unakereka na maneno yake,kazi unayo mana kwa uongozi huu mbovu ataongea sana.Uongozi wa Simba siasa,maslahi binafsi,chuki n.k umetawala.Leo unamwacha Kiiza mwenye mabao 20 unaenda kumsajili mtu usiyemjua!!unategemea nini?kwa uongozi huu Simba haitakaa ifanye vizuri.
 
Hizi sasa dharau kwa timu yetu hivi Simba imeshindwa kumlipa Musoti kweli. Dah Aveva yupo humu Kama anonymous ebu tuambie Kama hela hamna Ili sisi ma fans tuchange . Jerry muro anaongea Sana..Na misifa Kama muhaya .
 
Mkuu umenena "Ni heri ya shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua".
 
Hivi kuna kaukweli kuwa mbali na makosa ya kimchezo ya akina Kessy eti na maneno ya Jerry Muro yameisababisha Simba kufanya vibaya?
 
Hivi kuna kaukweli kuwa mbali na makosa ya kimchezo ya akina Kessy eti na maneno ya Jerry Muro yameisababisha Simba kufanya vibaya?
Ni kweli kabisa.Jerry ndiye sababu ya kufeli kwa mnyama.
 
Namshauri aweke akiba ya maneno.Sisi tutaloga usiku na mchana Yanga washindwe.Maana Jerry Muro ametupaka saana.Huyu jamaa utadhani siyo mchagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…