Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC!
"Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama wakipewa na Serikali na sisi hatuwezi kulalamika ila na sisi tumeiandikia Serikali kuwakumbusha kwamba kwamba Eneo ambalo Serikali walitwaa eneo lile Eneo la uwanja wa Jangwani ni eneo la uwanja wetu wa mazoezi na ulikuwepo pale Jangwani wanatakiwa waturudishie maana hatujawahi kufidiwa"
Mwenyekiti wa Simba Sc Murtaza Mangungu akizungumza na EFM
PIA SOMA
- Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba
- Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake
- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
- - Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?