Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kubali kuwa wewe sio mtu wa mpira, wewe ni mwanasiasa, ulikuwa mbunge wa kilwa kaskazini ukashindwa na vedasto ngombale wa Cuf ukaenda kuwa msaidizi wa PM mambo ya siasa, ukaondolewa ukaingia kwenye kura za maoni 2020 ukamshinda Francis Ndulane lakini JPM hakurudisha jina lako, akampa mbunge Ndulane.
Simba haikujui kabisa katika historia yake ndugu Mangungu, wewe hata Simba ikifungwa bao 20 huna uchungu, hujui maumivu tunayopata sisi, wewe hapo unashikilia tu hiyo nafasi hadi 2025 unarudi tena kugombea ubunge, kwahiyo huwezi kuachia nafasi hiyo kwa sasa kwa sababu huna shughuli za kufanya za kupromote jina, kwahiyo nakushauri mimi ni kijana tu wa miaka 1979 lakini naijua Simba na nimeona mambo mengi sana ya viongozi kuondolewa kwa namna ya kuwadhalilisha, nimemshuhudia afisa wa Bima marehemu Jimmy David Ngonya akiwa katibu mkuu akiondolewa, nimewaona akina Priva mtema, half an matumla, Ally bamchawi, juma salum, Hassan dalali nk.
Simba sisi tuna maumivu sana kwa sababu Simba hii imefanya usajili wa gharama kubwa tangu Simba ianzishwe, ina wachezaji wenye uwezo wa kuikabili timu yoyote ile hapa afrika, hata kama mpira unadunda na tunakiri kuwa wapinzani wetu Yanga wamebadilika hasa upande wa management inayoongozwa na kijana mdogo tu injinia Hersi lakini hata kama Yanga ni bora lakini sio wa kuifunga Simba mkono.Akili inakataa kabisa.
Nimeshuhudia matukio mengi ya Simba na Yanga, hata ile Simba inanusurika kushuka daraja kwa bao la 2 la.marehemu John Makelele akimliza Sahau Said Kambi marehemu hadi akanaswa makofi na Fred Felix Minziro nilishuhudia pale uwanja wa shamba la bibi, sijui ulikuwa wap Mangungu.
Unahojiwa na media unajibu majibu ya hivyo eti huwezi kuachia ngazi kwa sababu timu inafanya vzr, sasa kama inafanya vzr imekuwaje Robertinho afukuzwe? Unaongea as if kipigo tulichopigwa ni cha kawaida kabisa? Yanga walikula mkono wakaenda nyumbani kwa wakili msomi Llyod Nchunga had akaachia timu.
Mangungu unapata faida gani kwani, c waachie timu yao, kwan huna kazi nyingine za kufanya, tuna historia na wewe, Yanga ametufunga sana kwenye utawala wako, kwanni utawala wako unasumbuliwa sana na hawa jamaa.
Huyo injinia hersi ni mtoto mdogo sana, kweli mnashindwa na kuzidiwa maarifa na yanki huyo na bado huoni aibu mtu mzima.
Mnazushia wachezaji tu ili mbaki safe, kila mwaka mnamzushia chama kama hela, kama kala hela huyo aliempa amechukuliwa hatua gani, kama wachezaji wamehongwa mtutajie aliewahonga ni nani ili dunia ijue.
Sisi tumefungwa kuwa mpole mzee, wengine tuna siku ya nne leo bado bao 5 tunazo kichwani, mitaa tuliyozoea kupita hatupiti, yaani ni kama tumefiwa vile, wenzako tuna msiba mkubwa sana, hujui tu.Hujui tu kuwa tunajinyima kununua jezi, tunajinyima na kuacha shughuli zetu kuja kushangilia chama letu, halafu wewe unaongea maneno ya maudhi kwenye media.Kweli Mangungu? Kwa kauli zako kwann tusiseme na kuamini kuwa wewe sio mwenzetu?
Mwenzako Try again tangu tufungwe hajapost tena kwenye page yake, anajua maumivu tunayopitia, wewe unaona poa tu kuongea.Umeniudhi sana.